2 Chronicles 32:11

11 aHezekia asemapo, ‘Bwana Mwenyezi Mungu wetu atatuokoa kutokana na mkono wa mfalme wa Ashuru,’ anawapotosha ninyi, naye atawaacha mfe kwa njaa na kiu.
Copyright information for SwhKC